ADVERTISE NOW

ADVERTISE NOW
Advertise with us

Wednesday, June 20, 2012

BODI YA UTALII TANZANIA YAPONGEZWA KWA KAZI NZURI

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imepongezwa kwa kazi nzuri inayofanya katika utekelezaji wa majukumu yake ikiwa ni pamoja na jukumu kubwa la kuitangaza Tanzania kama eneo bora lenye vivutio vingi vya kitalii duniani pamoja na ushindani mkubwa kutoka nchi nyingine na hivyo kufanya idadi ya watalii wanotembelea nchi yetu kuendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka sambamba na kuongezeka kwa pato la Taifa litokanalo na sekta ya utalii.Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarish (wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la wafanyakazi Bodi ya Utalii baada ya uzinduzi wa baraza hilo jipya katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii (Dar es salaam),kushoto kwake ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Bodi Utalii Tanzania Dkt. Aloyce Nzuki.

Akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii hivi karibuni katika ukumbi wa Mikutano wa chuo cha Utalii jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bibi Maimuna Tarish amesema Bodi ya Utalii imeendelea kutekeleza vema majukumu yake na kwamba wafanyakazi wa taasisi wana kila sababu ya kujivunia mafanikio haya kwa kuwa kila mmoja kwa nafasi yake amechangia katika mafanikio hayo. Amewataka wafanyakazi kuendelea kuwa wabunifu zaidi kwa kuibua mawazo mapya yatakayosaidia kuboresha utendaji wa Bodi siku hadi siku na kujipima kwa matokeo ya kazi na mipango wanayojiwekea. “Nawaomba sambamba na kuwa na mipango ya kazi mfanye kazi kwa matokeo na kuwa wabunifu kadri iwezekanavyo kwa kila mfanyakazi kujitahidi kuwa na mawazo mapya ambayo yatasaidia shirika kuboresha utekelezji wa majukumu majukumu yake” alisema Bibi Maimuna.Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bibi Maimuna Tarish (Kushoto) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki,na kulia ni Katibu wa Baraza hilo Bw Elirehema Maturo.

Akizungumzia mikutano ya Baraza la Wafanyakazi sehemu za kazi Katibu Mkuu huyo amesema jambo muhimu sana katika kutatua baadhi ya matatizo yanayoikabili taasisi husika kwa kuwa mikutano hiyo ndicho chombo cha juu kabisa ambacho wafanyakazi kupitia wawakilishi na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi na Menejimenti wanapata fursa ya kukaa pamoja na kujadili masuala mbalimbali yanayohusu taasisi na afanyakazi kwa ujumla. Amesema kwa kufanya hivyo ni kutekeleza kwa vitendo agizo la serikali linalolenga katika kuendeleza na kudumisha utawala bora jambo ambalo linadumisha umoja na mshikamano baina ya wafanyakazi.Pichani kushoto ni Bw. Abdurahaman Mdimu, Naibu Mkurugenzi wa Mafunzo ya Uongozi Menejimenti ya Utumishi wa Umma akitoa mada katika mkutano wa Baraza la wafanyakazi la Bodi ya Utalii jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Dkt. Aloyce Nzuki.Sehemu ya wajumbe wakifuatiliana majadiliano huku Meneja wa Huduma za Kitalii Bw. Philip Chitaunga akichangia mada

Baraza hili jipya la wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania pamoja na mambo mengine kadhaa katika kikao chake hicho cha siku mbili lilipokea na kujadili makadirio ya mapato na matumizi ya Bodi katika kipindi cha mwaka 2012/2013, na taarifa ya utekelezaji wa mipango na kazi mbali mbali za Bodi katika kipindi cha Julai 2011 hadi Machi 2012.

Utalii nii Sekta ya pili nchini kwa kuchangia katika pato la Taifa ambapo inachangia kiasi cha asilimia 17.2 baada sekta ya Madini ambayo ndiyo inaongoza. Aidha kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2011 idadi ya watalii waliotembelea Tanzania kutoka nchi mbalimbali duniani iliongezeka kutoka watalii 782,699 mwaka 2010 hadi watalii 867,994. Nayo mapato yatokanayo na utalii yaliongezeka kutoka dola za Kimarekani milioni 1,254.50 mwaka 2010 hadi ufikia dola za kimarekani milioni 1,348,30

Chanzo cha habari: Tanzania Tourist Board

6 comments:

 1. Situated in the heart of the city, Charminar has become a landmark of Hyderabad. Built in 1591 by Sultan Quli Qutub Shah to commemorate the elimination of a deadly plague from the city, it has become a signature to the city. Its four graceful minarets soar to a height 48.7m above the ground. There is a market surrounding this structure.

  Tours and travels in Hyderabad

  ReplyDelete
 2. Kilimanjaro mount is great place to visit, when you say Kilimanjaro It raises adventure, legendary and amazing images to mind, but to find out what it's really like why not purchase a few Cheap Kilimanjaro Ticket for you and your loved ones and see for yourself!

  ReplyDelete
 3. I can see that you are putting a lot of efforts into your blog. Keep posting the good work.Some really helpful information in there. Nice to see your site.

  Tourism Management.

  Thanks!
  Bilal Hussain

  ReplyDelete
 4. Treks Himalaya trekking tours Operators takes you that further way to guarantee for Trekking in Nepal that you has an unforgettable Trek in Nepal that you have been dream with Acute trek is part of your choice for Nepal Tours. We have your choose of Nepal Trekking for 3 days to 30 or more days it depending of your timetable, sleep under lodges or tent. We always respect our duty to constantly your Nepal Holidays satisfaction. Whether you are looking for gateway Travel in Nepal, a memorable Hiking in Nepal outing with a family or an exciting nature Tours in Nepal with Acute Trek Pvt. Ltd. We offer you with the best progressive information during your Nepal Travel and itinerary leading focused and modified as per your requirements of Holidays in Nepal. It is significant Treks Himalaya to memorize, though, it necessitate an enough level of physical homework and must remembers that there is also a psychosomatic assurance walking and Trekking in Himalaya. Acute trek is an attempt to encourage Adventure Trekking in Nepal to the exterior world while striving to defend an aged tradition as well as conserve the surroundings for generation to come Tours Trekking in Nepal. We are specialize in organize Nepal travel activities excursion such as:- Trekking, Helicopter Tour, Peak Climbing, Mountain Flight, Honeymoon Tour, Sightseeing, Rafting, Jungle Safari, Pilgrim’s Tour, Hotel Reservation, Air Ticket, Tibet and Bhutan Tour many more your vacation desire.

  ReplyDelete
 5. Treks Himalaya trekking tours Operators takes you that further way to guarantee for Trekking in Nepal that you has an unforgettable Trek in Nepal that you have been dream with Acute trek is part of your choice for Nepal Tours. We have your choose of Nepal Trekking for 3 days to 30 or more days it depending of your timetable, sleep under lodges or tent. We always respect our duty to constantly your Nepal Holidays satisfaction. Whether you are looking for gateway Travel in Nepal, a memorable Hiking in Nepal outing with a family or an exciting nature Tours in Nepal with Acute Trek Pvt. Ltd. We offer you with the best progressive information during your Nepal Travel and itinerary leading focused in Tours Trekking in Nepal and modified as per your requirements of Holidays in Nepal. It is significant Treks Himalaya to memorize, though, it necessitate an enough level of physical homework and must remembers that there is also a psychosomatic assurance walking and Trekking in Himalaya. Acute trek is an attempt to encourage Adventure Trekking in Nepal to the exterior world while striving to defend an aged tradition as well as conserve the surroundings for generation to come Tours Trekking in Nepal. We are specialize in organize Nepal travel activities excursion such as:- Trekking, Helicopter Tour, Peak Climbing, Mountain Flight, Honeymoon Tour, Sightseeing, Rafting, Jungle Safari, Pilgrim’s Tour, Hotel Reservation, Air Ticket, Tibet and Bhutan Tour many more.

  ReplyDelete